|
Post by Yona Maro on Sept 9, 2005 8:43:48 GMT -5
kulikuwa kuna mwanamke mmoja antembea juu ya ghorafa ya mwisho sasa yule mwanamke akateleza kuteleza akadakwa na mzungu yule mwanamke akamwabia mzungu asante sana umeyasevu maisha yangu nitafanya na mimi nitakusaidua chochote unachotaka yule mzungu akamwambia lala na mimi yule mwanamke kamwambie kwa hilo haiwezekani akamrusha chini kumrusha akadakwa na mtaliana yule mwanamke kamwambia kama alivyomwambia yule m.mme wa mwanzo na yule mtaliana kasema vilevile lala na mimi akamwambia haiwezekani yule mtaliana akamrusha tena chili kumrusha akadakwa na muarabu huyo muarabu aliku shekhe yeye yule mwanmke akamwambia asante umeyasevu maisha yangu kwa hiyo nitalala na weye yule muarabu akasema astaghfirullah akamrusha chini kabisa
|
|
ruddy
New Member
Posts: 12
|
Post by ruddy on Sept 30, 2005 2:32:02 GMT -5
hio kali mzee
|
|
|
Post by Yona Maro on Sept 30, 2005 7:44:19 GMT -5
YES INAONYESHA JINSI GANI WENGINE WALIVYO SERIOUS NA MAMBO YA DINI NA IMANI ZAO
|
|