mondo
New Member
Posts: 4
|
Post by mondo on Sept 7, 2005 8:27:27 GMT -5
Ninatafuta rafiki wa kujifunza lugha hizo hapo juu kwa pamoja.Ninapenda kuziongea lakini sina wa kuongea naye au wa kunifanya niimprove kiwango chake hasa French,German,Italian ,Portuguese na Spanish.
Karibuni?Welcome/Bien Venu/Willkommen/Bien Venido/Benvenutto
|
|
|
Post by Yona Maro on Sept 9, 2005 8:36:36 GMT -5
HABARI MONDO KARIBU KATIKA JUKWAA LETU
MIMI NINA RAFIKI ANAITWA MARINA ANAISHI SPAIN YEYE ANAJUA SPANISH NA ITALIANO KAMA UKO TAYARI NAWEZA KUONGEA NAYE NIKUPE EMAIL ADDRESS YAKE UTAWASILIANA JE UNAPENDA HIYO ?
THANKS
|
|
mondo
New Member
Posts: 4
|
Post by mondo on Sept 11, 2005 14:30:19 GMT -5
Hollymaro, Asante sana nimekaribia.Nimefarijika kwa majibu yako mazuri.Nipo tayari wewe ongea naye akupe e-mail yake.Ninapenda sana kupata msaada katika lugha hizo. Kazi njema.
|
|
|
Post by Yona Maro on Sept 13, 2005 5:24:22 GMT -5
HABARI DADA
AMESEMA ATAKWANDIKIA EMAIL NIMEMPA EMAIL YAKO NILIYOIONA HAPA WAKATI WA REGISTRATION KWAHIYO USIJALI SANA
PIA WEWE UTAMFUNDISHA KISWAHILI KWA SABABU HUWA NAFUNDISHANA NAYE KISWAHILI
AHSANTE
|
|
niece
New Member
Posts: 0
|
Post by niece on Oct 31, 2005 3:29:52 GMT -5
mekuhi kaka Yona natafuta marafiki wa kiume na wa kike nje ya nchi ambaye atapenda kuongea english na mimi nimfundishe kiswahili. lakini sitaki raia wa tanzania. asante sana
reply to mebelowi@hotmail.com
|
|
ruddy
New Member
Posts: 12
|
Post by ruddy on Nov 25, 2005 3:04:28 GMT -5
Sasa huo ubaguzi Sister, kwani hamna wabongo wanaotaka kujifunza kiswahili? ?
|
|
|
Post by Sossy on Dec 6, 2005 14:03:44 GMT -5
Jamani mawazo yote mawili ni muhimu sana kwani huwezi kumzuia mtu hasa pale anapotaka yeye awepo. Lakini tambueni ya kuwa mpenzi hawezi kupatukana katika njia ambazo wengi twazani kuwa ni njia halisi.
|
|
|
Post by Yona Maro on Dec 7, 2005 0:25:27 GMT -5
HABARI NDUGU
HUWEZI JUA LABDA AMEONA WATU HUKO BONGO NI LONGO LONGO NDIO MAANA AMEAMUA KWENDA NJEE NA MBALI ZAIDI AU SIO .
KAMA WEWE UNAWEZA RUDDY PATANA NAYE NI SIMPLE WORLD
AHSANTE
|
|
|
Post by Sossy on Dec 7, 2005 4:21:13 GMT -5
Yona wengi ambao wamejaribu kupata wachumba nje ya nchi wana lalamika sana. Kwani wengi wanashangaa juu ya mila na desturi ambazo wapenzi wao wamezipitia. Na hii inapekekea taraka nyingi sana kutokea.
|
|
|
Post by Yona Maro on Dec 7, 2005 5:33:45 GMT -5
NDIO KWELI NAJUA ILA SI MTU INABIDI UJIANDAE VA KUTOSHA TATIZO NI KWAMBA UKITAKA MCHUMBA NJE YA NCHI BASI UNAINGIA KATIKA INTERNET HUMJUI MTU HUYO MAISHA YAKE NA KADHALIKA INABIDI UISHI NAE KWA MWAKA HIVI ILI UMJUE TABIA ZAKE ILI MUELEWANI VIZURI
WENGI HAWANA MUDA WA KUJUANA NA KUELEWANA WAKIKUTANA KAZI NI NGONO NA KUOANA BAADAYE WAKIANZA KUJUANA NA MATATIZO YANAPOANZA
|
|
|
Post by 170natale on Jul 23, 2014 7:36:35 GMT -5
NDIO KWELI NAJUA ILA SI MTU INABIDI UJIANDAE VA KUTOSHA TATIZO NI KWAMBA UKITAKA MCHUMBA NJE YA NCHI BASI UNAINGIA KATIKA INTERNET HUMJUI MTU HUYO MAISHA YAKE NA KADHALIKA INABIDI UISHI NAE KWA MWAKA HIVI ILI UMJUE TABIA ZAKE ILI MUELEWANI VIZURI WENGI HAWANA MUDA WA KUJUANA NA KUELEWANA WAKIKUTANA KAZI NI NGONO NA KUOANA BAADAYE WAKIANZA KUJUANA NA MATATIZO YANAPOANZA
|
|