Post by Yona Maro on Oct 28, 2005 8:43:14 GMT -5
Ukisikiliza nyimbo kama Someday iliyoimbwa na vijana wa Michael learns inaongelea kuhusu maisha ya baadaye yaani yeye michael na mchumba wake , ukisikiliza nyimbo kama soul provider anazungumzia kuhusu baadaye anapenda kufanya nini na mpenzi wake , hata ukisikiliza nyimbo zetu za nyumbani kama ray c nyimbo mimi na wewe milele zote hizi ni nyimbo tamu zinaleta hamu ya kusikiliza , moyoni mpaka zinatamanisha kabisa
Nyimbo zote hizi hazimpi fursa mtu kufikiri kuhusu Ukimwi , ukisikiliza nyimbo hizi , basi mawazi yako huwa katika ngono mtindo mmoja , yaani ziko kama vile dunia tunayoishi haina ukimwi , hakuna gonoria , hakuna kaswende na kadhalika , lakini dunia yenyewe inajulikana mambo yalivyo .
Fikiri nyimbo hizo na kijana wa kileo , kijana wa kileo hujawa na mawazo ya ngono , kutamani na mambo mengine ya ajabu ajabu mawazoni mwake , wengi hawana muda wa kupoteza kufikiri kuhusu uendelezaji wa uchumi wetu , jamii zetu , tamaduni zenu , mila na desturi zetu , wengi hawana malengo ya muda mrefu kama vijana kutoka israel walivyo au kama vijana kutoka india walivyo .
Hii sijui inatokana na nini , sijui na makosa ya wazazi , sijui ni vijana wenyewe , sijui ni jamii inayo tuzunguka , sijui ni umasikini wa elimu na akili , sijui kuanguka kwa mila na desturi zetu au sijui ni vyote hapo juu nilivyotaja au sijui ni vijana wenyewe wameamua sasa wanataka wawe kama walivyo yaani wawe free kufanya chochote wanachoona ni kizuri mbele yao sio mbele ya jamii husika .
Labda niongezee experience yangu na familia yangu , sisi baba yetu alikuwa mkali sana pamoja na mama , na tulipewa adhabu sana , kama tukifanya kosa na kadhalika , kila tukitoka shule hakuna kupumzika ni kwenda garage kujifunza ufundi au office kujifunza mambo mengine au shamba kuangalia mama anavyofanya kilimo lakini sio kwenda kulala au kucheza mitaani kwahiyo maisha ya mitaani hatukuyazoea .
Siku zikafikia kwamba nasi tukabalehe muda wa kucheza mbali na nyumbani muda wa kuwa huru na kadhalika muda huu baba yetu alikuwa anatuita wote kila baada ya miezi 3 hivi au 6 wote wakike na kiume na kutupa usia kuhusu maisha yanavyoenda , kuhusu kujitegemea na kupanga maisha yetu , kusoma zaidi na mambo mengine kadha wa kadha
Wengine tulisikia , tulisoma , tukatoka nyumbani kwenda kuiona dunia ilivyo , wengine wameolewa na wana watoto , wengine kama mimi sijaowa wala mchumba sina , zaidi nakazia kuhusu maisha yangu , elimu yangu na jamii husika , sijiangalii mwenyewe , pale nilipopanga kuna watoto wadogo , watoto hawa huwa nawaelekeza mambo kadhaa kuhusu maisha yao , shuleni kwao na kadhalika wananisikia .
Wengine walibaki nyumbani , wakati tunapewa usia wote huo kuna watoto wengine vilitoka kabisa wengine wakawa walevi , watumiaji wa madawa ya kulevya , wafanya fujo , mitaani , wahuni na mambo mengine kadhaa ambayo machafu siwezi kuelezea hapa kutokana na lugha ya kutumia sina , kwahiyo kila mtu alifuata njia yake lakini mzazi alishafanya aliyopaswa yaani kuwaelekeza watoto wa ke lipi zuri na baya , nini maana ya maisha na mambo mengine kadhaa .
Lakini hatukuwahi kuambiwa kuhusu ugonjwa wa ukimwi , hata angesema angekosa mfano kwa sababu yeye pia alikuwa na wake wengi so alikaa chini na kutulia nalo , nafikiri suala la ukimwi lilikuwa ni la kijana na maisha yake binafsi kama ukiambiwa ujichunge na mambo ya dunia pia ukimwi upo kuwa makini .
Kwahiyo katika dunia kuna mengi kuna wengine kama mimi tumefanikiw akukaa na wazazi wetu na watu wengine kadhaa vizuri na kutufundisha mambo kadhaa kuhusu maisha , kujitegemea na kujiendeleza , kufanikiwa kuonana na marafiki kadhaa hasa wazuri ambao ni washauri wazuri wasiokuwa na upendeleo upande wowote ule .
Haya wewe kijana wa leo , umeamua nini kuhusu maisha yako ya baadaye , je umejipanganje kama hujapewa usia na mawazo mapya na mzazi kama wangu je unapenda kuuliza watu wazima wakusaidie > usiogope uliza utajibiwa hata katika biblia imeandikwa .