Post by Yona Maro on Aug 31, 2005 0:30:01 GMT -5
Kwa kawaida mimi nina tabia ya kutembea sana barabarani muda wa jioni kalba ya kurudi nyumbani kwenda kupumzika , Mara nyingi napanda basi kutoka mjini then nashuka sehemu moja hivi inaumbali wa kilomita kama 4 hivi mpaka ninapoishi kwahiyo napenda kutembea umbali huu mpaka ninapofika nyumbani . Ila nikiamua kupanda basi mpaka karibu kabisa na nyumba naweza ila muda wa jioni unakuwa umetulia zaidi kwahiyo natembea kuna vitu mbali mbali mitaani .
Basi kuna sehemu moja hivi ambayo huwa napenda kupida ni kama kiuchochoro hivi , sehemu hii kuna duka hivi halafu kwa upande wa pili kuna sakafu iko tupu sehemu hii ya sakafu utakuwa watu wanakunywa pombe , wengine wakipiga soga , wengine wakiongea mambo yao ili mradi muda ipite tu watu waendelee na maisha yao .
Mimi siku zote nikipita nilikuwa najiuliza wale vijana pale wanafanya nini ? Tena wengine wanakunywa pombe wakati hakuna baa , wengine wako kama vile wanaongelea mambo ya huduma mfano mtu anataka kuduma Fulani kubembelezana , Well kila nikipita nilizidi kujiuliza tu bila kupata majibu .
Katibu na sehemu hii kwa mbele kidogo kuna dobi ndio anayefua nguo zangu na viatu vyangu ukitoka kwa dobi kuna sehemu nyingine ni mgahawa hapa huwa nanunua juice na matunda kwa kawaida usiku napenda kunywa juice na kula matunda sili chakula cha aina yoyote ile , ili kuweka mwili , akili , mawazo na kila kitu sawa bila uchovu na kadhalika .
Kumbe hawa wakina mama , kaka na dada ni wanajiuza kuweza kupata chochote kwa ajili ya kujikimu kimaisha , Nimegunduwa hilo siku za karibuni ni baada ya kuwashangaa then nikaanza kuwauliza watu kadhaa kuhusu vile vikao vya pale ni vya nini hasa , Manake nashangaa unamwona mwanamke tena wa miaka chini ya 20 hana kazi hafanyi lolote lakini amebeba vitu au kitu cha bei mbaya kama simu , na marembo ya mwilini .
Hawa wameamua kujialika pale kwa pleasure zao wenyewe inaelekea wazazi wao au walezi wao wameshindwa kabisa kufanya chochote kuhusu wao na hawa wakina mama wanaojiuza pia inaelekea muda wote walioishi duniani hawajua kwa nini wamezaliwa wanatakiwa watoe mchango gani hapa duniani kabla ya kufa .
Nalaumu mfumo mzima wa familia za kiafrica ambazo zinamwandaa mtu kama mwanamke aje kuwa mtumwa au tegemezi kwa watu wengine mfano kwa wanaume na kadhalika , wanawake wengi katika nchi za kiafrica ni tegemezi kwa ushauri , kiuchumi na kwa njia nyingine mbali mbali , utakuwa mwanamke tangia mdogo amejijengea mazingira ya kuja kuolewa siku moja naye awe na bwana au mume then azae mtoto au watoto . “ eti kuolewa au kuowa ni lazima “ Imeandikwa katika maandiko .
Kuowa au kuolewa sio kitu cha lazima , Ni lazima kwa kutegemea na jamii inayohusika kama huna uwezo wa kumhudumia mtu au kuhudumiana kwa njia mbali mbali hakuna haja ya kuowa au kuowana au hata kuwa na mchumba kwa maisha ya sasa hivi wengi waongo wengi walaghai na wanafedha zao .Halafu wengi wanauguwa ugonjwa wa ukimwi au magonjwa mengine ya zinaa lakini fedha zao zinawafanya waonekane hawasumbuliwi na lolote , Zimekuja dawa za kurefusha maisha na hizi ndio zitatuuwa mwaka huu .
Tumeona vijana wenzetu wa Bongo wako pale uchochoroni wanajiuza , hawana shguli ya kufanya ila ni hiyo tu kuuza miili yao ili waweze kujikimu na maisha au kupambana nayo , pale nina hakika wameshaambukiza wengine wengi ugonjwa huu ambao hawajui lolote kama wale wanajiuza wengine wanaweza kufikiri labda ni wasichana wamekaa na starehe zao kumbe ni mitego wa aina .
Mimi nimeona watu wengi wanaoamua kujiingiza katika shuguli ambazo ni chafu au mbaya wana background mbaya katika familia aliyokulia au jamii aliyokulia mpaka kufika hapo alipo , lazima atakuwa na tatizo Fulani labda wazazi wake walishindwa kumfunza akakutana na dunia ingine ikamfunza kujiuza , inawezekana wazazi walimfunza lakini marafiki zake shuleni au mtaani walimdanganya wengine ni kuiga tu au kufuata mkumbo .
Watu wote waliofanya makubwa au maajabu katika maendeleo ya dunia hii tunamoishi sisi hawakuendekeza ngono au tabia mbaya hawa wote wengi walionekana mbumbumbu au lofa au ila hawakupewa muda wa kuonyesha umwamba wao katika sekta husika .
Ngono inapoteza fedha , nguvu za mwili , na mapngufu mengine ya uwezo wa kufikiri