Post by Yona Maro on Oct 12, 2005 7:00:43 GMT -5
Siku moja nimekaa zangu home nyumbani , nangojea saa 4 asubuhi ifike niende zangu kuogelea , nikasikia sauti tuka upande wa pili wa dirisha langu , ilikuwa sauti ya msichana anaitwa Judith mie napenda kumwita judy , Nilijifanya sijasikia , kwa sababu sikupenda kuongea naye kipindi hicho nilijuwa nikimkaribisha ndani tu basi ni story mpaka nashindwa kwenda kuogelea .
Alithingya siji basi akatoka zake chumbani kwake akaja kwangu , kokoko nikasikia anagonga , kwa kawaida musa huu saa 3 mpaka saa 4 huwa nasikiliza Jazz Hour ya radio one stereo , kipindi hicho nyimbo iliitwa Caravan Of Dreams niko nasikiliza Jazz huku nikifanya vitu vingine kujiandaa na kwenda swimming .
Nikafunguwa mlango bila ajiza akanishika mkono niende kwake , sikuweza kukataa , alishanitowa nje nikikataa tunaweza kubishana ikawa aibu kwa majirani na marafiki , so nikaamua kwenda tu ili mradi muda upite lakini saa 4 kasoro 10 hivi nirudi home kuchukuwa nguo tayari kwa safari .
Nilikaa katika sebule yake , akaenda zake chumbani kwake , hapa alikuwa akitazama filamu ( body chemistry ) alipenda nami niiangalie , lakini anajua siangalii hizi mimi ni naangalia Vichekesho na Filamu za mapigano pekee sio hizi , alinilazimisha , ghafla nikaona khanga imepitwa kwa mbele yangu .
Nilipenda kuuliza whats up , nikachuna , huyooo mpaka katika TV kwahiyo sikuweza kuangalia hiyo TV Tena , hiyo tisa kumi khanga ikamdondoka , akabaki na kichupi tu , siamini macho yangu wala moyo wangu kwamba leo yamenikuta ,Asubuhi hii baridi kali anafanya vile sijui ananitakia nini .
Huyooo akakimbia akanirukia akanikalia , Mabusu yakaanza , mara hiki mara kile , nilimnongoneza kwamba nataka kutoka kwenda swimming ntarudi baadaye akakataa kabisa kwanza alienda kufunga mlango mkubwa ili nisitoke , kazi ikabaki ndani mimi nay eye , we acha tu .
Kufumba na kufungua macho , jamaa mmoja hivi akatokea kwa nyuma yangu na pistol yake mkononi , akaniambia mimi nikae kama nilivyo , Judy akatoka pale akakimbilia chumbani kwake , basi jamaa aliniambia nisimame nitembee mbele nisiangalie nyumba manake atanimaliza .
Sikuangalia nyuma kama maagizo yake yalivyosema nikaendelea kwenda mbele kutokana na maelezo yake , lakini hakujuwa kwamba mimi hii nyumba ya judy naijuwa vilivyo pengine kuliko yeye , nilitishia kugeuka nyumba akapiga moja hewani kunitisha ,Nilijuwa judy amenitega leo sijui itakuwaje .
Kufika mbele nilipanda dirisha la sebuleni , nikaruka kwa juu ,akapiga pistal hovyo , nikamchoma na kidole katika jicho lake moja , hapo nikamchanganya akadondosha pistol yake , nami sikutaka kukimbia .
Nikachukuwa Pistol Hiyo nika mpiga moja ya Mdomo , kichwa chote kikafumuka , Nikaanza kumtafuta Judy nikampata naye nikampiga tatu za kichwani .
Mchezo ukaisha nikarudi zangu home , Beba begi nikaenda zangu swimming Hizo shaba zote zilikuwa tamu .
Hadithi ya kutunga
Yona Maro
www.maisha.tk