|
Post by silvano on Oct 22, 2005 6:32:49 GMT -5
Jamani mi ndio kwanza naingia humu so tujulishane whats goes on
|
|
|
Post by atupele on Nov 9, 2005 7:21:37 GMT -5
Naitwa atupele nina miaka 24 niko Chuo cha ualimu Kange ,kwetu ni mbeya ndio kwanza najiunga nyinyi mwausika na nini
|
|
|
Post by atupele on Nov 12, 2005 2:17:40 GMT -5
Jamni hyupo hata mmoja wa kunipa jibu au kuwasiliana na mimi muwe marafiki hata wa siku moja tu
|
|
|
Post by Maro on Nov 12, 2005 10:05:01 GMT -5
Hello habari atupele
Mie niko tunaweza kuwa marafiki naitwa yona maro , habari za chuoni na masomo hivi kage ni wapi yaani mkoa gani
samahani kwa kukuuliza
Ahsante
|
|