|
Post by Yona Maro on Aug 29, 2005 8:39:25 GMT -5
HABARI WOTE HUMU
MIMI NI KIJANA MWANAUME UMRI WANGU NI MIAKA 23 KUTOKA TANZANIA MJINI DAR ES SALAAM , NINAFANYA KAZI HAPA NA KUISHI HAPA .
NIMEFURAHI KUKUTANA NANYI KATIKA FORUM HII AHSANTE
|
|
mondo
New Member
Posts: 4
|
Post by mondo on Sept 7, 2005 8:15:37 GMT -5
Hata mimi nimefurahi kuwa na wanachama wa forum hii.Hodi jamani nipo getini
|
|
|
Post by Yona Maro on Sept 9, 2005 8:40:15 GMT -5
KARIBU SANA MONDO TUENDELEE KUSHIRIKIANA NAONA KUNA TOPIC NYINGI TUNAWEZA KUZICHAMBUA NA KUTUMIANA HABARI MBALI MBALI
SEMA HABARI ZA MAISHA SEHEMU YAKO
|
|
mondo
New Member
Posts: 4
|
Post by mondo on Sept 11, 2005 14:33:30 GMT -5
Asante sana hollymaro.Nategemea kupata marafiki na kujifunza mambo mengi sana kupitia forums za board hii. Have a nice day.
|
|