Post by Yona Maro on Jan 13, 2006 5:09:37 GMT -5
Mapenzi ya mtandao yanafurahisha sana , haswa wakati ambapo ukifikiria yanayowakuta wengine au yaliyo kukuta wewe mwenyewe , katika pilika pilika kadhaa za uhusiano wako na wanawake kadhaa au wanaume kadhaa katika mtandao .
Nimezoea sana mtandao , siku moja nilikuwa nachat zangu , ghafla dada mmoja anaitwa judy aliniadd katika contact yake yaani msn , tukaanza kuongea na kujuana zaidi , wakati huo mie simjui judy na wala yeye hanijui , katika display yangu niliweka picha na mtu mwingine , tukachat weee , tukaombana na namba za simu tukapeana , usiku huo alinisumbua kwa simu kutaka nikutane naye .
Ohh well , ilikuwa ni siku ya jumapili , alizidi kunipandisha stimu tu , basi alipenda kuniandikia ujumbe mfupi wa maneno katika simu , nikiwa kazini halafu ujumbe wake ukija basi kiti changu huruka juuu , manake ni tamu sana hizo messegi zake .we achaa tu , nikaendelea zangu na maisha .
Ukafikia sasa msimu anasema hana credit kwa simu yake , inabidi nimtumie ili aweze kuniandikia sms nikiwa kazini , si unajuwa tena kipendacho roho jamani , kwahiyo ndio hivyo nilikuwa nimeshaoza na kufa kabisa ingiwa simjui na yeye hanijui , pengine alibabaika na ile picha yangu pale katika msn display .
Maisha yakaendelea mimi na yeye , siku ya kukutana ikafika ,siku moja kabla akanielekeza jinsi ya kukutana naye , moyo wangu ulienda mbio kudu kudu kudu , kichwani nilianza kufukiria sijui yukoje , sijui ntamshikaje , sijui yaani itakuwaje , je akiwa limama je itakuwaje , moyo unadunda jinsi ntakavyofanya tukionana naye
Nilijua tu jinsi alivyokuwa ananiandikia zile message tukikutana lazima tufanye tendo la ndoa , nikawa na mawazo kama kondom vile sijui nibebe sijui nisibebe , nikasema anyways ila poa tu kama hataki kondom ndio poa kwasababu kipendacho roho hula nyama mbichi , hata hivyo si tunapendana well sio rahisi awe na ngoma yule bwana ahaha kwanza nani kampa hiyo ngoma , nilijitupa kitandani siku ya jumamosi jioni nilale ningoje kesho yake .
Jumapili ikifaka muda wa saa 5 akaniamsha kwa simu , akanielekeza jinsi atakavyokuwa amevaa na kadhalika , akanielezea pa kumkuta , well mie nikatoka zangu jua kali asubuhi hiyo nikavunja ratiba ya kwenda kuogelea , nikamfuata yeye huko alipo , mawazoni nilijuwa atakuwa msichana powa sana huyu , yaani zile message anazo andika halafu anaishi hukoo mbezi beach kwa wenye nazo , kitakuwa kitoto matata sana hiki .
Nilimwona nikampita kwa sababu sikutegemea kama ni yeye , jinsi alivyokuwa ananielezea sijui mtamu sijui nini na kadhalika , well mie nikaenda mbele zaidi akanisimamisha , ndio nikashusha pumzi siamini , nilitaka kumwambia yaani wewe unavyojisifia vile kumbe ni kutuko hivi ? Hivi ndivyo ulivyo au umetoka usingizini saa hizi ? Well nilichuna sikuuliza kitu .
Tukaanza safari ya kwenda posta kutembea , tulitembea kwa masaa 3 hivi , tukaenda azam take away kwa icecream , kisha tukaanza safari ya kwenda kuogelea , yeye alisema anaweza kuogelea , well kufika kuogelea anasema ni siku yake ya kubleed so hawezi kuogelea , ehheeh , nikajiuliza kwanini hakuniambia toka asubuhi halafu mbona amevaa jinsi tight kama ni period yake ? Halafu mbona hapo mbele kwake hapaja tuna kama ana bleed ?
Nikasahau yote hayo basi tukaunganisha safari mpaka kwao mbezi beach babake , kufika kule akaingia ndani mie nikabaki sehemu moja katika office yao , kuna mambo nilikuwa nasoma nikimngoje twende zetu beach baharini karibu na eneo hilo , kwenye saa 12 hivi nikampigia simu aje haraka twende beach coz nataka kuwahi kurudi zangu home , kwa sababu jumatatu ni siku ya kazi sipendi kuchoka bana .
Alikuwa kavaa pedo pusha na vinguo vingine vya kishamba shamba , nilisema yaani hapa nikikutana na washikaji itakuwa noma , kidemu chenyewe kishamba hakijui kujipiga pamba , yaani nakwambia vituko tupu , ikabidi nivae miwani yangu sasa nifiche sura yangu , nikifika kule beach nimweleze hizi style zake za kuvaa sio kabisa yaani sivutiwi nazo mimi kama mimi .
Tulifika beach salama , akanieleza kwamba amenizimia kimaajabu , halafu tukapiga naye picha tehe tehe , tulikaa mpaka saa 1 usiku huko beach tukaanza safari ya kurudi zetu kwao , huku barabarani hakuna aliyetuona basi nikawa namshika makalio yake , wakati mwingine kuyafinya , huku nikimtania wooow , waaaaw hot butts , wakati mwingine nilimuuliza umeweka nini katika butts zako mbona kubwa na laini hivi .
Basi katika saa 2 hivi usiku akanisindikiza mpaka mwenge ili niende zangu kimara , kule tulipopita , Huyu dada akanishika mabega nisimuage , tukaanza mabusu hadharani , nilijisikia mimi ndio mr dream maker mwenyewe , lakini nilifikiria zaidi kuhusu maisha ya dada huyu , mbona tumejuana jana tu lakini michezo imeanza , au ananitumia mimi kwa majaribio yake nini ?
Huyu msichana alikataa kabisa kuniachia , ikabidi twende zetu kwa nyumba ya wageni , kufanya mapenzi , tulipofika huku akasema mara yuko katika period tulale tu , mara sijui nini sababu kibao , nikamuuliza kama uko kwenye period mbona umekubali kuja na kuingia chumba hiki humu ndani , halafu mbona umenipagawisha kwa hayo mabusu na kadhalika ?
Nilitoka nje chap chap kununua kondom , nikarudi nazo , hizo kondom nilivyokuja nazo nilitaka kumwona tu jinsi alivyo mjuzi , babake akanivalisha kondom kisha tukafanya mapenzi kwa dakika 20 hivi nikavua kondom , nilikuwa sijisikii raha bana , niliamua kuvua kondom , huyu dada aliangalia tu bila majibu , so akawa ni mwili kwa mwili original kabisa .
Usiku mzima tulikuwa kitandani tukionyeshana aksheni , mitindo kadhaa na mambo mengine kadhaa mazuri wafanyayo wapenda nayo , akafikia saa 10 usiku tukaamua kulala , kwenye saa 12 hivi asubuhi aliniamsha tuendelee na mchezo wetu , kweli tukaendelea mpaka nikachuguwa uume wangu .
Niliona maumivu yanazidi nikaamua kuacha kufanya ngono hiyo , sasa tukaanza kunyonyana ndimi na katika sehemu zetu za siri , njee watu walifikiri tunapigana au tunagombana , huyu dada alipiga kelele tu saa zote wakati namnyonya yeye , lakini ndio hivyo katika saa 4 usiku tulimaliza aksheni yetu .
Tukaagana anarudi kwao nami nilienda zangu home kupumzika , nilijuwa tu home nijiandae na ugomvi kutoka kwa wazazi manake sikulala home siku hiyo , na kazini pia nijandae kujielezea lakini kazini nilijuwa ntwaambia naumwa kidogo sijui home ntasemaje .
HADITHI HII NI YA KUTUNGA HAINA UKWELI WOWOTE , ILA NDIO HIVYO USIAMINI MAPENZI YA MTANDAO HATA SIKU MOJA , NIMEANDIKA HADITHI HII KWA AJILI YA KIKUNDI KIMOJA CHA MAMBO YA KUELIMISHA WATU DHIDI YA UGONJWA WA UKIMWI NA UHUSIANO .
JINA JUDY NI LA KUTUNGA SIJUANI NA MTU YOYOTE ANAYEITWA JUDY WALA SIJAWAHI KUWA NA UHUSIANO NA MTU YEYOTE MWENYE JINA LA JUDY .
AHSANTE

Post by Timothylic on Apr 18, 2019 15:11:43 GMT -5
Привет! интересный у вас сайт! Нашел русскую базу кино:  новые фильмы 2018 смотреть хорошем качестве ужасы  http://kinovalenok.tv/ Тут: Лучшие отечественные фильмы смотреть онлайн Онлайн лучшие отечественные фильмы рейтинг 2019 Здесь: приключения лучшие фильмы смотреть онлайн бесплатно кино онлайн в хорошем качестве приключения рейтинг 2019 Здесь: смотреть онлайн новинки фильмов 2018 хорошее качество kinovalenok.tv/novinki/ список 2018 Здесь: kinovalenok.tv/11253-rob-lou-poluchil-rol-v-medicinskoy-drame-reanimaciya.html  Роб Лоу получил роль в медицинской драме "Реанимация"  Здесь:  Санса Старк присоединится к «Людям Икс»   Санса Старк присоединится к «Людям Икс»

Post by JasonSails on May 17, 2019 13:34:02 GMT -5

Post by KevinLycle on Jul 9, 2019 9:55:31 GMT -5

Post by Ellgicymn on Sept 16, 2019 15:29:51 GMT -5
Veterinary Amoxicillin Dosage  Cytotec Contre Indications

Post by Simaundug on Nov 30, 2019 17:51:53 GMT -5
Чтобы вылечить рак, требуется дорогостоящее и эффективное лечение. Медикамент Ксалкори (Crizotinib) - Xalkori (Кризотиниб) предназначен для терапии немелкоклеточного рака лёгких. Новейшее средство успело отлично зарекомендовать себя в терапии серьёзного заболевания. Состав и свойства В эффективный препарат последнего поколения входит активное лекарственное вещество кризотиниб, которое является селективным ингибитором тирозинкиназы и киназы анапластической лимфомы. Также в препарат включены дополнительные вещества, которые способствуют лучшей абсорбции лекарственного вещества. Лекарство последнего поколения прекращает дальнейшее развитие злокачественной опухоли и убивает раковые клетки. В результате воздействия средства происходит индуцирование кризотинибом опухолевых клеточных структур. Препарат Ксалкори – мощное противоопухолевое средство, которое часто назначается врачами, если предыдущее лечение рака лёгких не принесло положительного результата. Противоопухолевое воздействие средства является дозозависимым. Чтобы медикамент Ксалкори (Crizotinib) - Xalkori (Кризотиниб) купить по сниженной цене, обращайтесь в нашу интернет аптеку. Показания • ALK-позитивный немелкоклеточный рак; • ROS-1-позитивный рак лёгкого. Противопоказания • гиперчувствительность к составу средства; • беременность; • лактация; • детский возраст; • печёночная недостаточность; • совместный приём с ингибиторами CYP3A. Способ применения Приём данного лекарства не зависит от употребления пищи. Капсула проглатывается, не разжёвываясь. Требуется непременно запить медикамент чистой водой. Медики рекомендуют дозу препарата - 250 мг (2 раза в сутки). Не следует удваивать лекарственную дозировку при пропуске употребления средства. Коррекция дозы зависит от выраженности CTCAE. При выраженных побочных эффектах лекарство временно отменяется. Однако на средство Ксалкори (Crizotinib) - Xalkori (Кризотиниб) отзывы встречаются лишь положительные. Препарат хорошо переносится организмом. Побочные реакции • головокружения; • нейропатия; • понижение аппетита; • тошнота; • диарея; • запор; • нарушения зрения. Где купить лекарство У нас на сайте каждый покупатель может купить лекарство по приемлемой стоимости. На медикамент Ксалкори (Crizotinib) - Xalkori (Кризотиниб) цена доступна каждому покупателю. Вы можете заказать доставку медикамента по указанному номеру телефона либо оформить покупку прямо в форме заказа. Если вам требуется лекарство Ксалкори (Crizotinib) - Xalkori (Кризотиниб) стоимость в нашей интернет аптеке намного ниже, чем в других пунктах продажи. Приобретение медикамента на нашем сайте гарантирует вам высокое качество нужного лекарства и экономию денег. Вы можете заказать необходимое лекарство, не выходя из дома, прямо сейчас! ксалкори 250 мг

Post by Simaundug on Dec 14, 2019 6:35:04 GMT -5
Чтобы вылечить рак, требуется дорогостоящее и эффективное лечение. Медикамент Ксалкори (Crizotinib) - Xalkori (Кризотиниб) предназначен для терапии немелкоклеточного рака лёгких. Новейшее средство успело отлично зарекомендовать себя в терапии серьёзного заболевания. Состав и свойства В эффективный препарат последнего поколения входит активное лекарственное вещество кризотиниб, которое является селективным ингибитором тирозинкиназы и киназы анапластической лимфомы. Также в препарат включены дополнительные вещества, которые способствуют лучшей абсорбции лекарственного вещества. Лекарство последнего поколения прекращает дальнейшее развитие злокачественной опухоли и убивает раковые клетки. В результате воздействия средства происходит индуцирование кризотинибом опухолевых клеточных структур. Препарат Ксалкори – мощное противоопухолевое средство, которое часто назначается врачами, если предыдущее лечение рака лёгких не принесло положительного результата. Противоопухолевое воздействие средства является дозозависимым. Чтобы медикамент Ксалкори (Crizotinib) - Xalkori (Кризотиниб) купить по сниженной цене, обращайтесь в нашу интернет аптеку. Показания • ALK-позитивный немелкоклеточный рак; • ROS-1-позитивный рак лёгкого. Противопоказания • гиперчувствительность к составу средства; • беременность; • лактация; • детский возраст; • печёночная недостаточность; • совместный приём с ингибиторами CYP3A. Способ применения Приём данного лекарства не зависит от употребления пищи. Капсула проглатывается, не разжёвываясь. Требуется непременно запить медикамент чистой водой. Медики рекомендуют дозу препарата - 250 мг (2 раза в сутки). Не следует удваивать лекарственную дозировку при пропуске употребления средства. Коррекция дозы зависит от выраженности CTCAE. При выраженных побочных эффектах лекарство временно отменяется. Однако на средство Ксалкори (Crizotinib) - Xalkori (Кризотиниб) отзывы встречаются лишь положительные. Препарат хорошо переносится организмом. Побочные реакции • головокружения; • нейропатия; • понижение аппетита; • тошнота; • диарея; • запор; • нарушения зрения. Где купить лекарство У нас на сайте каждый покупатель может купить лекарство по приемлемой стоимости. На медикамент Ксалкори (Crizotinib) - Xalkori (Кризотиниб) цена доступна каждому покупателю. Вы можете заказать доставку медикамента по указанному номеру телефона либо оформить покупку прямо в форме заказа. Если вам требуется лекарство Ксалкори (Crizotinib) - Xalkori (Кризотиниб) стоимость в нашей интернет аптеке намного ниже, чем в других пунктах продажи. Приобретение медикамента на нашем сайте гарантирует вам высокое качество нужного лекарства и экономию денег. Вы можете заказать необходимое лекарство, не выходя из дома, прямо сейчас! кризотиниб аптека

Post by JeremyanYpe on Jan 11, 2020 22:39:45 GMT -5

Post by Irina on Oct 13, 2020 23:31:41 GMT -5
Отдых на черном азовском море