Post by Yona Maro on Dec 15, 2005 5:49:01 GMT -5
Vipi Janny
Wakati mwingine nina hamu ningekuwa mtangazaji wa radio , ili niwe nakutumia nyimbo wakati wote wewe tu , au niwe muogeleaji baharini niogelee na maji yenye nakshi yako , au niwe mkimbiaji nikimbize upepo wenye muamko wako pengine niwe mwimbaji ili mashairi yote nitunge kwa ajili yako , au niwe mwanasiasa nitowe point kuhusu wewe nikiwa jukwaani au niwe mhariri wa gazeti niand**e kuhusu tahariri zako siku zote .
Mambo yote hayo niliyotaja kwangu ni ndoto za mchana , labda kuwa mwandishi au kuogelea kwa maana kuogelea ni mwenyeji sana hata katika kuandika lakini sio sana napenda kuandika zaidi kuhusu propaganda na vitu vingine kuhusu vikundi au Fulani kafanya nini , Niko katika fani ya mawasiliano katika mitandao .
Ndio niko katika fani ya mawasiliano lakini katika jitihada zote niwewahi kufanya kupata email yako nashindwa kwa njia ya amani , sijui nijaribu hacking ? well najua hacking itafanikiwa kwa kiwango kikubwa na kupata email address yako angalau nikuandikie mistari michache , au sijui namba yako ya thimu nitapata wapi ili niweze kukupigia tuponge angalau hata kwa Sms Jamani Janny nionee huruma mwenzako mtoto wa Maro Pls
Ukiona mtu anakutafuta hivi ujue kuna bahari mlangoni kwako , sasa inawezekana umeshaiona unajifanya hukuona sasa hiyo bahati yaweza ondoka kwa spidi kali , au hujaiona kabisa na hupendi kuiona , Lakini si unajua kwamba bahati huja mara moja ? na ukiikosa umeuwawa > sasa kwanini unaachia bahati ziende hivi hivi tu ?
Mie nimeona nuru ikiangaza pembeni yako , juu yako , mawazoni mwako na kila sehemu unayotia mguu , nuru hii unaijua mwenyewe hamna haja ya kumwaga mtama katika njiwa waje kuumaliza wote Janny wangu .
Nisije kukuboa na haya maneno yangu bure nilitaka kuandika sana lakini nimefika hapa naona vya kuandika vimeisha lakini bado nina dukuduku moyoni mwangu , macho yangu yanahamu ya kuona maandishi yako , masikio yangu yanahamu ya kusikia sauti yako kupitia simu au pengine hivi hivi live ( katika blue lights ) , vidole vyangu vinahamu ya kushika vidole vyako .Macho yangu yamechoka kuona majumba marefu na watu wasio faa kila siku yamechoka yanapenda kuona mtu mpya mwenye ari mpya na mawazo mapya kama wewe .
Samahani kwa maneno haya kama hujaelewa uliza nitaendelea kueleza zaidi kwa vipengele na mifano kama unapenda , pia samahani kwa mail hii ndefu , samahani kwa kuweka mambo hadharani , samahani kama ni makosa kwangu kuandika hivi lakini kama ungekuwa ni makosa basi ningeacha siku nyingi sana .
Janny sitaki kwenda nje kuna baridi ( I cant go its cold outside ) sitaki kwenda mbele bila yaw ewe , sitaki kusikia sauti nyingine ila yako tu , sipenda kusoma maandishi mengine ila yakwako tu , sipenda kusikiliza nyimbo nyingine ila ulizochagua weewe tu
Someday somewhere
Its me and you janny
You will take I will take my time
You will see what holds us beyond and far way
I long to hear the waves crying ur voice , I want to see you there someday somewhere
Baby love really hurts without you ,