Post by Yona Maro on Dec 15, 2005 5:47:17 GMT -5
Niko zangu bar moja hapa jijini dar es salaam , nimetulia zangu tu sina hili wala lile , sasa ni saa 10 jioni , niko zangu hapa kwa mapumziko zaidi , pamoja na mambo mengine huwa napenda kunywa juice hapa , nikikaa hapa naweza kuona angalau nusu ya jiji la dare s salaam lote , kwa sababu hii bar iko juu ni ghorofa ya 3 katika jengo la haidery plaza bar inaitwa Natasha spiced .
Ukija hapa ni vizuri ukiwa umekuja kudate au una mchumba wako kwa sababu watu wengi hapa kila mtu na wake , kuna wengine wako na wake za watu wengine wako na waume za watu , hasa vijana , hii ndio bongo yenyewe , siku hizi wanaiita bongo new york , yaani kuifananisha na new york ya America .
Basi leo ntakutembeza katikati ya jiji la dar es salaam na haya maandishi , si umekumbuka sasa nimekaa hapa Natasha spiced chicken ? haidery plaza ghorofa ya 3 ? tushuke ngazi sasa twende zetu mtaa wa mwepu tukaona mambo lakini tukiwa njiani twende azam take away tukale ice cream ndio tuendelee na safari yetu .
Sasa tumeshafika jengo la azam lakini tunasikia mziki kwa mbali kidogo juu , huku juu kuna ukumbi mmoja unaitwa the storm ( kimbunga ) hapa ukitaka Malaya , mashoga na kadhalika wako , ukitaka kudance na kutumia dawa za kulevya au uasi wowote unaoujua hapa ni kwake ingawa ukumbii huu ni mdogo aah basi tusiende tuendelee na azam yetu .
Tumeshafika azam takeway , kuna ice crean na corn za aina mbali mbali , mie napenda za loli kama tshs 300 hizi za kitanzania , ukiangalia zile ngazi ni juu pale unaweza kwenda wewe na mwenzako au hata wewe mwenyewe kama unamsuri mtu , huko juu napo wanauza soda na cakes lakini sio ice cream au soda , huko ni private zaidi .
Azam pametuchosha sasa twende wapi kuangaza macho ? twende mkwepu bwana bills , hapa bills wengi wanafikiri ni ukumbi wa disco na mambo mengine ya starehe ila bills ndio kituo kikuu cha kuuza na kuvusha madawa ya kulevya kwenda nchi za nje , hata mmiliki wa ukumbi huu unajulikana sana kwa biashara hii , hii sio siri ni ukweli ulio wazi kwamba mbowe ni drug dealer .
Utalijua jiji leo , tuelekee mtaa wa jamhuri tena , nakwambia hapa mtaa wa jamhuri ukitafuta vitu hukosi kuanzia magari mpaka vitu vingine vya gharama , mtaa huu ndio unaongoza kwa matapeli , majangili , wauaji na wezi katika Tanzania pengine , wewe utaona vijana wamesisima tu saa zote , wengine watajifanya wanauza simu lakini jiulize mbona police wanakuja kuwashika baadaye wanaachiwa ?
Wengine wanafanya biashara za siri , mfano kutengenezea watu passport feki za kusafiria , wengine kusafirisha watu nchi za ulaya , wengine kuandika barua za uwongo katika maofisa mbali mbali hasa office za kimataifa kuomba mkopo ,au kuomba viza kujifanya wako nchi za nje kumbe wako hapa hapa , ikitaka hata degree za bure kabisa na vyeti vya shule zote unapata hakuna shida babake .
Hayo ndio nilikusanya leo katika safari yetu mtaa wa jamhuri na mtaa wa mkwepu na pale zanaki , basi tuonane siku nyingine labda kupindi hicho itakuwa usiku , tutaanzia obay kuja ohio na falaliza na kinondoni kwa sababu ntakuwa na usafiri siku njema kwako
Merci