Post by Yona Maro on Apr 9, 2006 11:51:38 GMT -5
Ni bondeni kidogo karibu na kilima cha kuelekea hoteli ya oyesterbay , hapo ni saa kumi na mbili jua limeshazama , ukiangalia watu wanatoka zao beach kufanya mazoezi wengine ndio wanakimbia kuelekea huko huko beach kufanya mazoezi .
Mtaa huo umetulia sana , hakuna anayefuata mwenzake wala nili , barabara nzuri za lami , hakuna vumbi m kila kitu kimekaa safi sana ,muda huo ndio wanafunzi wengine na vijana wengine hutoka pia beach kwa walioenda kuogelea .
Katika kibonde hichi kuna upande mmoja watoto wadogo wanapenda zaidi kucheza mpira wa miguu pale kwa hiyo ukipita mida hiyo ndio zao utakuta mipira kibao inarushwa huku na kule .
Nimetokea zangu kituo kinaitwa morogoro store naelekea shule ya kifaransa karibu na oyesterbay hotel , kupita hapa katika huu mtaaa , hakuna wale watoto wadogo ninaowajua mimi kwa maana wameshaondoka , sasa kumebadilika kabisa .
Kumetulia sana , lakini pembeni kuna watu wamesimama , watu wenyewe ni wakina dada , kupita mbele kidogo nikamwona dada mmoja amelele chini , kama amelewa sana sasa ameshindwa kutembea mpaka amedondoka pale ndio mawazo yangu yalinijia hivyo .
Kumbe nilitokosea sana , yule dada hakulewa , jinsi nilivyozidi kumsogelea kwa karibu ndivyo alivyokuwa anajichezesha nione maungo yake vizuri , mimi niliendelea na safari yangu tu katika shule ya kafaransa sikuwa na time naye wala nini .
Nilifanikiwa kupita hapo mbele yake , sauti nzuri ilitoka kwa dada mmoja , ananiuliza kama nataka huduma , au aje kwangu , Oya vipi mambo , unataka huduma au nije ? wow swali hilo lilikuwa gumu kwangu , yaani intake huduma wakati sijaulizia hiyo huduma ? nilifunga domo langu sikujibu .
Dakika 3 baadaye kijana mmoja hivi umri chini ya miaka 18 , alitokea mtaa wa pili na basikeli yake , akasimama karibu na yule dada , akamnongoneza kitu , kisha yule kijana akashuka katika ile basikeli akampa chochote yule dada kwa mikono miwili .
Yule dada alilala chini , na kijana akaenda juu yake , hapo ilikuwa giza limeanza kuingia na walijificha nyuma ya mti , kijana yule alikuwa anaonekana hajiamini , alikuwa ametoka zangu shule nafikiri akabadilisha nguo na kwenda kwa yule dada kupata huduma .
Sikujali sana , nilifika kwa mwenyeji wangu pale oyesterbay hotel na kufanya mazungumzo na mwenyeji wangu mpaka katika saa 5 hivi usiku , ndio nilipata nafasi ya kutoka pale hotelini ilibidi nipande gari yake anirudishe nyumbani kwangu muda ule nilikuwa nimechelewa sana .
Ilikuwa balaa sana kama vile naota au vipi sijui , wakati gari inatoka nje ya geti , dada mmoja mwenye tattoo alikaa katikati ya barabara ile tunayopita sisi , alikuwa amefungua nyuo yake kwa mbele tumwone kama kuwekeana dau tuseme .
Rafiki yangu aliamua kugeuzia njia nyingine , njia hii pia napo kina dada walivamia walikaa kati kati ya barabara , hatukuwa na ujanja ikabidi jamaa yangu apite pembeni ya barabara ile ,ili kujinusuru .
Baadaye nilimuuliza yule mwenyeji wangu kuhusu yule dada aliyekuwa amelala pale , jibu nililipata kwamba yule dada ndio style yake ya kujiuza , huwa anajifanya amelala pale watu wanaojua wanaenda kumnutsuwa na kumchukuwa kisha kumrudisha pale pale .
Ohh yeah , ndio maisha hayo , kila mtu na maisha yake kila mtu na fani yake , lakini siku zote naamini kujiuza au kufanya biashara ya umalaya sio fani ,kama ingekuwa ni fani basi kila mtu angekuwa anajiuza , na watu wengi zaidi wangejiunga , na kwanza ingekuwa halali yaani wanaofanya biashara hizo wasingekuwa wanajifucha hivyo kama sasa .
Ni wakati sasa wa hawa kina dada zetu wanaojiuza wapele leseni halali ya kufanya biashara yao kama mtu anaona ni haki kufanya vile lakini asiumize watu wengine au jamii nyingine , wapewe leseni na watambulike katika jamii na pengi kuheshimika wawe na viti maalumu huko bungeni .
Wakipewa leseni na ikiwa halali nahisi nyumba ndogo zitaisha watu hawatakuwa na time kwenda katika nyumba ndogo akitaka huduma hiyo anajimwaya mwaya katika danguro lake , dakika kadhaa anatoka zake , tena anashauriwa kutumia kinga kama kawa .
Sijasema kwamba napenda biashara hii au napenda vitendo vile , ila wale ni binadamu wana haki ya kufanya chochote watakacho kama wanaona ni haki yao , kama wewe unavyoona ni haki kuwa na kitu Fulani wao pia ni haki yao kuwa vile .
Na ukimwi je ?