|
Post by Yona Maro on Dec 1, 2005 1:29:41 GMT -5
WATU WENGI WAMESEMA KUHUSU MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR KWAMBA HAUFAI NA WENGINE MPAKA KUTAKA MKATABA WA MUUNGANO ULIKUWAJE ILI WAUSOME UPYA
KATIKA POLL HIYO CHAGUA JIBU MOJA KATI YA HAYO MAJIBU YALIYOPO NA TOA MAONI YAKO KUHUSU MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
|
|
|
Post by honestold woman on Dec 1, 2005 2:20:09 GMT -5
:)napenda iendelee
|
|
|
Post by ssa on Dec 2, 2005 20:51:09 GMT -5
sipendi
|
|
|
Post by JUMA on Dec 2, 2005 22:23:37 GMT -5
MIMI KWANZA NAPENDA SERIKALI ITOE HIZO NYARAKA ZA MUUNGANO ZIWEKWE WAZI ILI KILA MMOJA AWEZE KUJUA TUMEUNGANA KWA MAMBO GANI NA HAPO NDIO TUNAWEZA KUCHAGUA KAMA MUUNGANO UENDELEE AU USIENDELE.
|
|
|
Post by RUBESH on Dec 3, 2005 14:32:24 GMT -5
NI VYEMA KWANZA TUKAONA MKATABA WENYEWE, NA HALAFU KUANGALIYA THE PRESENT IMPLEMENTATION ILI KUPATA KUJUWA NI YEPI YAMEZIDISHWA KATOKA KATIKA MKATABA WA MWANZO NA YEPI YALIKUWA HAYAMO....AND WHO DID THAT AND WHY ... BASED FROM THAT FACTS THEN WE WILL BE ABLE TO MAKE THE RIGHT JUDGMENT WETHER TO CONTINUE OR BRAKE IT...... RUBESH
|
|
|
Post by Yona Maro on Dec 6, 2005 6:33:59 GMT -5
Ulisema hivi ? IF ZNZ DOESNT WANT THE UNION THEN WE SHOULD I ATTACK THAT ISLAND AND OVER TAKE IT , IF WE PROTECT THEM AND GUAD THEM WHY DO THEY WANT TO GET AWAY FROM US ITS LIKE A SON ESCAPING FROM HIS FATHER .
IF THE UNION WILL BREAK APRT THEN ZNZ WILL BECOME AN ISLAMIC STATE AND TERRORIST WILL HAVE A STATION THERE ITS EASY FOR THEM TO ATTACK MOMBASA ,DSM , AND EVEN RIDE TO CONGO FOR MINERALS Majibu Heloo Mr it sound you need to go back to school ? Why ? Ndoa ni two option kukubaliana kuishi kwa salama au kuachana ,muungano wa Tanganyika na Zanzibar sio wa lazima ni optional if union doest cercify both of us lazima uvunjwe au ufanyiwe marekebisho kama Indonesia na ilivyoikosa East Timor. Suala la ukereketwa la udini ni lako wewe mwenyewe ila Zanzibar hijawahi kuwa na style ya Afghanistan kabla ya union iliishi kwa salama na Tanganyika na wakati huo watanganyika walikua na nguvu zaidi visiwani na heshima kubwa kwani mtu wa bara enzi hizo kbla ya Mapinduzi akiingia visiwani na kufanya kazi bila ya bugudha leo mtu wa bara ZNZ ni sumu na imefika hata CCM wa ZNZ kuwaona ndugu zao wa Bara kuwa ni threat na kupinga wabara kuajiwa visiwani ila wao waendelee kuajiriwa bara kwa kupitia mwavuli wa muungano . Miezi sita iliopita KArume alikubaliana na Wakereketwa wa CCM kwa kukubali kutoa Zanzibar National ID that means if you dont have ID in Zanzibar huwezi kuajiriwa hata na private sector haya sio madai ya CUF wao wanapinga kubaguliwa kwa wabara ila CCM ina support ya BAra na ndio hiyo hiyo inayokataa madai ya CUF ya kukaa kitako kuzungumzwa matatizo ya muungano. Kwani beleive or not iko siku itafika ukienda Zenj utakua mgeni kama Kenya Polisi kukuuliza kitambulisho chako na kukueka ndani jee bado hujaamka tu . Watch nini unaongea uliza , soma na punguza ukereketwa ikiwa unahitaji kujua nini matatizo ya ZNZ na muungano na juu ya serikali yao na madai ya CUF unahtaji kuelimishwa hatutosita hapa tutakupa darasa. Wako Abuu Unyambo
|
|