Post by Yona Maro on Oct 12, 2005 2:31:27 GMT -5
Katika Dhw ukiandika topic kuhusu Mtoto wa mengi rodney mengi aliyefariki kwa ugonjwa hatari wa ukimwi , basi utakuta vitisho katika PM yako au pengine email zako , Eti Admin anakwambia usitumie lugha hizo , sasa anataka tutumie lugha gani ? tuseme uwongo kwamba amekufa kwa ugonjwa wa moyo ? kwa masilahi ya nani na faida ya nani ?
Kwani kuna shida gani mtu kusema Fulani amefariki kwa ukimwi ? Hakuna shida yoyote , sasa dunia nzima hasa nchi kusini mwa afrika tuko katika vita kubwa dhidi ya janga la ukwimi , wengi hawajapata elimu hii vya kutosha na hata kama wamepata elimu hii basi hawaamini kwamba Fulani anaweza kuadhirika kwa ukimwi , sasa kwa kijana kama rodney ambaye mzazi wake ni mwanaharakati wa ukimwi na mazingira ni vizuri atolewe mfano ulio hai kabisa .
Mbona watu maarufu kama Mandela , Wengine wamesema wazi kwamba wanao wamefariki kwa ugonjwa wa ukimwi na kutowa mfano ulio hai ? Kwani Mandela na mengi nani maarufu ? Kila mtu anajuwa tena katika orodha wa viongozi wanaopaswa kuongoza dunia Mandela alichaguliwa namba moja
Yeye na uzee wake , utashi wake alikata kimeo meo na kusema ukweli kwamba mwanae yalimkuta , hiyo ilikuwa fundisho kwa vijana wa afrika kusini afrika na dunia kwa ujumla , wakati wa kufichana mambo umepitwa na wakati , kama unaguvu zako za dola peleka katika dola zako , wengine tunanguvu za wananchi ambao wewe unawategemea kwa ajili ya kupato chako .
Msimamo wangu unabaki pale pale kwamba Rodney mengi amefariki kwa ugonjwa wa ukimwi , sasa ni wakati wa baba yake REGINALD MENGI kusema ukweli yaliyomsibu mtoto wake , iwe mfano bora kwa viongozi wengine na viongozi wengine Hasa Hapa Tanzania tuliozoea kufichana na kudanganyana .
Ntaendelea kuwa na msimamo huo huo siku zote siogopi vitisho vya huku private au katika Emails , kuhusu maisha yangu au kazi zangu , najua ninachofanya na ukweli utabaki pale pale .
Anachotakiwa ni kujibu kwa hoja sio kuandikiana barua za vitisho katika Box za watu .
Ndio maana tuna www.maisha.tk hapa hakuna upendeleo unaandika chochote kulicho ndani yako ila sio tusi au lugha chafu , ni ukweli na uwazi tu .
Ahsante
Yona Maro
www.maisha.tk