|
Post by mwinyi on Oct 11, 2005 10:33:33 GMT -5
iweje kimekuwa SIRI KUBWA NAMNA HIYO? habari zilizopo kuwa kafa kwa UKIMWI lakini kama mnavyojua kuwa ukipost maneno hayo kwenye darhotwire ni HARAM wanadelete-huku pembeni mengi anataka freedom of speech
makubwa haya
|
|
|
Post by MsemaUkweli on Oct 14, 2005 1:49:49 GMT -5
No daught mshikaji aliunganishwa gridi ya Taifa.
|
|