Post by Yona Maro on Dec 1, 2005 0:59:13 GMT -5
Habari
Leo ni siku ya ukimwi duniani .
Watu wengi duniani toka sehemu mbali mbali duniani wanasheherekea siku hii kwa namna moja au nyingine , wengine wanakumbuka wapendwa wao waliofariki kwa ugonjwa huu , wengine ndio siku ya kupata fedha hii yaani wanaandaa matamasha na vijana wengi huingia katika matamasha hayo kwahiyo wanajipatia fedha za kuwawezeksha kufanya mambo mbali mbali lakini sio kupambana na ugonjwa huu .
Mengi yamesemwa kuhusu ugonjwa huu mara sijui umetengenezwa maabara huko fort USA , Mada hii inaukweli ndani yake kuna documents zinazodhibitisha hiyo hata katika internet unaweza kupata documents hizo yaani maelezo kuhusu ugonjwa huu na mambo mengine mengi siwezi kukupa link yake kwasababu ni ya usiri kidogo , wengine wanasema umetengenezwa kutokana na nyani huko afrika ya kati haswa kongo . Chini nitakueleza vilezo kadhaa kusema kwamba hautokani na nyani .
Mimi binafsi nimepoteza mama yangu mdogo , huyu yeye miaka ya 85 hivi ndio alipata ugonjwa huu , kipindi hicho aliolewa na jamaa mmoja wa uganda , lakini baadaye waliachana kwahiyo aliishi kwa miaka zaidi ya 12 ndio akaja kufariki na kufariki kwake sio kwa sababu aliishiwa afya la hasha yeye aliamua kujichinja baada ya kuona ana pata shida sana , kujitibia na kadhalika , alisema anapenda mali na fedha zake ziwaendeleze watoto wake kwahiyo bora yeye afe , so akajiuwa kwa kujikata shingo .
Hilo pigo moja , kuna mapigo mengine mfano katika familia yetu ya watoto 18 kuna baadhi ya wadogo zangu na dada zangu tabia zao na mienendo yao haieleweki , walevi , wanatumia dawa za kulevya , wengine ndio hivyo kuwa na wanaume wengi au wanawake wengi , yote haya wazazi wao na walezi wana waangalia bila kusema lolote kisa mtoto wake anampenda anamjali kwahiyo hawezi kumkemea na kumwambia mambo mazuri kuhusu maisha yake .
Watu wanatumia njia kadhaa kuelimisha watu na jamii nyingi kuhusu kujikinga na ugonjwa huu hatari , wengi wanafundisha nyuma ya pazia wao ndio watendaji wakuu .mtu anaenda katika tamasha kuelimisha watu kuhusu tabia , na uaminifu yeye sio mwaminifu katika ndoa yake , sio mwaminifu katika jamii yake , unategemea nini ? si dhambi itazaa dhambi ? na ndio inavyokuwa siku zote .
Wanasema kuwa mwaminifu kuwa na mpenzi mmoja au tumia condom , mie sikubaliani na msemo huu , inabidi watu wawe waaminifu kama wako katika ndoa ila kama hauko katika ndoa hamna haja ya kufanya tendo la ndoa au ngono , hapo ndio utakuwa mwaminifu kwako na kwa jamii yako , ila uko katika ndoa unajifanya uaminifu ni kuwa na wachumba wengi na kutumia kondom , je unajuwa kwanini condom zilitengenezwa ?
Sasa hivi tanzania kuna condom aina ya RAHA watu haswa vijana wanapenda sana hizi , ukweli ni kwamba condom hizi ziko tanzania na sehemu nyingine kusini mwa bara la afrika kwa majaribio , kwahiyo wewe unaotumia hizo condom pia uko katika majaribio ya matajiri waliokaa zao katika viti vyao , utaambukizwa wewe , utaaangamiza uchumi wako , familia yako na nchi yako inayotumia nguvu za ziada kujiendeleza .
Hakuna mtu asipenda kuishi maisha marefu yenye raha na mafanikio tele , hakuna mtu anayependa aone watu wakiteketea kwa ukimwi au magonjwa mengine yanayoweza kuzuilika , kila mtu anapenda aishi na azuie matatizo na mambo mbali mbali katika nafasi aliyonayo yeye .
Kwahiyo wewe kama binadamu mwingine yoyote yule unahaki ya kuishi utakavyo na safari ni ndefu sana . lakini jua kwamba kuna mambo kadhaa yanayodhibiti hiyo safari yako moja wapo na kubwa linalotishia maisha yako na jamii yako ni ukimwi .
Tumia nafasi uliyonayo kuelimisha wenzako , juu ya ugonjwa huu , juu ya maisha mema yenye amani na uhuru zaidi .
Kuwa mwaminifu kwako wewe mwenyewe usifanye ngono , na usitumie condom ukitumia kondom leo siku ya kwanza utazoea kufanya ngono siku utasahau kabisa kutumia hiyo condom inategemeana na hali yako , na ukitumia kondom huo sio uaminifu kabisa .
Kwamiaka 23 sasa nimeishi duniani sijawahi kutumia condom na wala sijawahi kufanya tendo la ndoa , sitarajii kwa sasa sio kwa sababu kuna ukimwi au nini la hasha hiyo ni miito na maadili niliyolelewa nayo na watu walionilea na nina marafiki wazuri tunaofahamishana kuhusu shida hizi .
Kuwa mwaminifu , kali wenzako zuia ukimwi .