|
Post by Yona Maro on Dec 18, 2005 7:12:13 GMT -5
KAMA WEWE NI MWANACHAMA AU MSHIRIKI WA DARHOTWIRE , UCHAGUZITANZANIA , DARCHAT , BONGOLAND , KUMEKUCHA NA CHEZASALAMA .
TUNAPENDA KUKUTAARIFU KWAMBA TUTAKUWA NA SHEREHE ZA KIRAFIKI ZA KUFUNGA MWAKA 2005 NA KUFUNGUA MWAKA 2006
KAMA UNAPENDA KUSHIRIKI TAFADHALI WASILIANA NA
YONA F MARO
EMAIL : yonamaro@hotmail.com Simu : 0748360204
KAMA UNAPENDA KUSHIRIKI TAFADHALI WASILIANA NA MTU HUYO KWA EMAIL HIYO NA NAMBA HIYO , BAADAYE UTAPATA TAARIFA ZAIDI KUHUSU SIKU YA SHEREHE NA MAHALI SHEREHE ITAKAPOFANYIKA
KARIBU
SANA
|
|