<Shy> unajuwa
<Shy> hapa videmu sijui vipi
<Shy> yaani kiti kideogo anaanza kutowa namba
<Shy> duh
<Shy> kweli ngoma wengi tunakufa
<KUBWA> unaona man
<KUBWA> ndio maana nakuambia man kuwa makini
<Shy> yep niko makini msee
<KUBWA> unakumbuka yule demu aliyetoa number hapa
<Shy> yes namkumbuka
<KUBWA> kuna washikaji walienda kumtia
<Shy> duh
<KUBWA> yule demu ana ngomaa
<Shy> duh
<Shy> so washikaji wamefanyaje ?
<KUBWA> jana kaja hapa kataja number za watu walioenda kumtiaa
<KUBWA> na kasema ana ngomaa
<Shy> duh
<KUBWA> kataja number hapa jana za watu walioenda kumtiaa
<Shy> na hizo namba unazijuwa ?
<KUBWA> yap
<Shy> inamaana hao jamaa hawakutumia kinga ?
<KUBWA> sijui hapo
<KUBWA> huenda aliwadanganya wasitumie
<KUBWA> kwa sababu nia yake ilikuwa ni kuwaambukiza
<KUBWA> kataja number hapa za hao jamaaa
<Shy> yes itakuwa hivyo aliwaambia ni virgin sio
<KUBWA> noma man
<Shy> yes noma kishenzi
<KUBWA> lakini mtu atampenda vipi mtu humuoniiiiiiii
<KUBWA> alafu anakupa number mwenyewe
<Shy> si ndio hapo
<KUBWA> anakuambia kabisa uende kumtiaaa
<Shy> tena anatow ahapo public
<KUBWA> hapo sasa
<KUBWA> huyu titi naye kakupa numberr
<Shy> la hajanipa
<Shy> alitaka kumpa yule jamaa nikamwambia asitowe
<KUBWA> kuwa makini kaka
<Shy> wamejuana dakika chache tu anampa
<KUBWA> wewe mwache msela huyo
<KUBWA> hapo sasa
<Shy> unajuwa siku nilikuwa pale sinza
<KUBWA> nakusikilizaa
<Shy> kuna dada alikuwa anachat hapa dhw
<Shy> sikujuwa ni nani
<Shy> mara akapokea simu ya jamaa mmoja wa hapa hapa room
<KUBWA> nakusikilizaa
<Shy> yule jamaa usiku ule akamfuate yule demu na gari lake
<Shy> wakaondoka ilikuwa ndio mara y akwanza kuonana
<Shy> akaenda nae sijui wapi
<KUBWA> duhhhhhhh
<KUBWA> hapo alienda kumpiga baooo
<Shy> hapo hapo aliwaambia wengine katika simu kwamba watawasiliana
<KUBWA> kuna kupona kweli hapo
<Shy> next week
<KUBWA> huyo demu anawaambukiza watu ngomaa
<KUBWA> kuwa makini na huyo titi
<Shy> poa poa
<Shy> usijali
<KUBWA> wewe chukua number anzaaaa
<KUBWA> unaweza ukachukua number ukaiweka
<KUBWA> alafu unakula batiii
<Shy> halafu baadaye unamwaambia washikaji
<Shy> mtu akikupa namba hizi usimwangalie
<KUBWA> kuna kupona kweli hapo
<KUBWA> kweli
<KUBWA> hapo utakuwa umewasidia masela
<Shy> yep
<KUBWA> haloo akikupa number yake nitonye ili nikae mbali na hiyo number
<Shy> manake najuwa masela wengi humu
<Shy> poa poa
<KUBWA> yap
<KUBWA> chukua number yake hiyo
<Shy> poa wait
<Shy> atanipa
<Shy> nataka tm nikutane naye kabisa
<Shy> mchana
<Shy> hivi wewe ndio street displine au sio
<KUBWA> poa kabisaa
<KUBWA> hapana sio mimi man
<KUBWA> wewe chukua number hiyo kaka
<KUBWA> kama vipi unaweza ukakutana naye ukamchora tu
<Shy> okey poa
<Shy> yes ndio
<KUBWA> poa nipitishie number hiyo nikae nayo mbali
<Shy> unamwona huyo changudoa nae
<Shy> si yule ester alisema kwamba anangoma ?
<KUBWA> yap
<Shy> anaomba ushauri ?
<KUBWA> inawezekana man
<KUBWA> wanabadili majinaa
<Shy> ahaa